sign in
rss
bookmark
contact
about
archive
bobsankofa
05 Apr 2008 192 views
 
  photoblogs by
shutterchance

WE WANNA BE FREE!
Zanzibara is predominantly Islamic. Most of the women do wear vails and they look absolutely beautiful. I wonder why in countries like France women cannot wear what they want to wear, for example Vails, in the so called public places such as schools. Or why Christians are forbiden to wear cross pendlums in the public?

Why can't we be free as we wanna be? We wanna be free!

Zanzibar ni nchi yenye utamaduni wa Kiislamu zaidi. Wanawake wengi huvaa hijab na hupendeza kwelikweli. Nashangaa katika nchi kama Ufaransa watu wakipigwa marufuku kuvaa watakavyo, kwa mfano ni kosa la jinai kuvaa hijabu kwenye kadmnasi kama vile mashuleni. Nashangaa pia kwanini Wakristo wasiwe na haki ya kuvaa mikufu ya misalaba hadharani.

Kwa nini hawataki tuishi tutakavyo? Tunataka uhuru!
camera unknown
exposure mode full manual
shutterspeed unknown
aperture f/0.0
sensitivity unknown
focal length 0.0mm
resolution 610x700 pixels
bob sankofa © rights reserved
random photoblogs.org permalink